Anaster Kaaya
Joined 2 years ago
Vinginevyo
Vinginevyo
e.g.
shiviria mbesa yako vinginevyo nkeenda ikuraya
sw
Nirudishie hela yangu vinginevyo naenda kukufunga

Ingava
ingawa
e.g.
anshiviria mbesa yako ingava yoose ndi
sw
amenirudishia pesa yangu ingawa sio yote

Baada
baada
e.g.
shiniinga ky baada ya mikonu ivili nkekeviria
sw
nipe elfu moja baada ya siku mbili nakurudishia
