Godlisten Julius Temba
Joined 1 year ago
Matatiso
Matatiso jina la kiume likimanisha changamoto
e.g.
Matatiso naenda tedha
sw
Matatizo ameenda sokoni
February 9, 2023
Onasa
Onasa ni jina la kiume lenye maana ya ona nuru
e.g.
Onasa nevavywa mdwe
sw
Onasa anaumwa na kichaa
February 9, 2023
Kusirie
Kusirie ni jina la kiume lenye maana ya amini
e.g.
Kusirie aenda shomba
sw
Kusirie amesafiri
February 9, 2023
Kudasenyi
Kudasenyi ni jina la kiume lenye maana ya penda kwenye nuru
e.g.
Kudasenyi nesambya mboriko
sw
Kudasenyi anaosha vyombo
February 9, 2023
Kabera
Kabera ni jina la kiume lenye maana ya pera
e.g.
Kabera ne msha
sw
Kabera ni mzuri
February 9, 2023
Masumbuko
Ni jina la kiume lenye maana ya asiye na mwelekeo
e.g.
Mae wa masumbuko nekumba fisofya ho tedha/ lango
sw
Mama yake na Masumbuko anauza viazi
February 9, 2023
Nkiraningaya
Ni jina la kike lenye maana ya mwokozi sikia
e.g.
Nkiraningaya neseka naavi ndii
sw
Nkiraningaya anacheka sana
February 9, 2023