boss
e.g.
jane ni donga
en
jane is the boss
1. Rich person
2. Boss
Donga wao amemuok.
Their boss has arrived.
Sunda email yako upate Sheng moja moto kila asubuhi. Ni bure. Wazito 1,981 tayari wako form.
Setting up an account is free! Login to leave a like.