• Top definitionTop Definition

Bidii

Hard work

e.g.

Wanasema nimefika hapa juu ya Illuminati sii biddii.

en

They are saying I am where I am because of Illuminati, not through hard work.


By Njambi
date publishedJuly 16, 2019

  • Definition 2

Bidii

Effort

e.g.

Kila kazi inaitaji bidii ili kufikia malengo

en

Every jobs requires effort to achieve goals


date publishedFebruary 19, 2022

  • Definition 3

Bidii

hardwork

e.g.

Kwa kuwa kwamba mtayashika kwa bidii maagizo haya yote niwaagizayo, kuyafanya; kumpenda Bwana, Mungu wenu, na kutembea katika njia zake zote, na kushikamana naye;


date publishedSeptember 14, 2021

  • Definition 4

Bidii

zeal/hardwork

e.g.

Nafanya kazi na bidii sana

en

I do my work with alot of zeal


date publishedDecember 31, 2021

  • Definition 5

Bidii

exertion

e.g.

Alikuwa akihema kutokana na bidii za kupanda ngazi.

en

He was panting from the exertion of climbing stairs.


date publishedFebruary 3, 2022

  • Definition 6

Bidii

Hardwork

e.g.

Mwanafunzi huyu ni mwenye bidii

en

This student is hardworking


date publishedOctober 30, 2023
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.