A child/ kid
e.g.
Mtoto wangu analala.
en
My child is sleeping.
a child
mtoto wetu ameenda shuleni
our child has gone to school
baby
Mtoto analia.
The baby is crying
Baby
Huyu mtoto ni mkubwa
This baby is big
Nampenda mtoto wangu
I love my baby
Aidha aliitaka jamii kuacha mila na tamaduni zilizopo katika jamii ambazo zinamnyima motto haki ya kupata elimu na kusababisha baadhi ya watoto kukimbilia mitaani kwa kuwa mila hizo zinakiuka misingi ya haki za msingi za mtoto.
Mtoto wa Kadzo ni mrembi sana.
Kadzo's daughter is very beautiful.
Official Indigenous African languages(national level)
Setting up an account is free! Login to leave a like.