Agnes Mkude
Joined 2 years ago
Wang'onyo
Wadudu
e.g.
Wang'onyo wamne meza
sw
Wadudu wako kwenye meza
By
Agnes Mkude

Chifutu
kifutu
e.g.
Chifutu kamlume mwana
sw
kifutu amemng'ata mtoto
By
Agnes Mkude

Mchanya
Juu
e.g.
Mchanya mwe ing'anda mnachidege
sw
Juu ya nyumba kuna ndege
By
Agnes Mkude
