Anna
Joined 3 months ago

Mazula

Mazula ni jina la kiume linalo manisha mtu aliye zaliwa kipindi cha mvua.

e.g.

Mazula yaza shule

sw

Mazula ameenda shule


By Anna
date publishedFebruary 14, 2023

Nitaga

Ni jina la kike la mtu aliye zaliwa kipindi cha jua kali

e.g.

Nitaga akuteka vyilyo

sw

Nitaga anapika chakula


By Anna
date publishedFebruary 14, 2023

Magere

Ni jina la kiume lenye maana ya mtu aliye zaliwa kipindi cha samaki aina ya ngere wakiwa wengi ziwani.

e.g.

Magere aza mwishamba

sw

Magere ameenda shamba


By Anna
date publishedFebruary 14, 2023

Nakilo

Ni jina la kike lenye maana ya mtu aliye zaliwa usiku

e.g.

Nakilo yaza shule

sw

Nakilo ameenda shule


By Anna
date publishedFebruary 14, 2023

Namisana

Ni jina la kike ambalo linamanisha mtu aliye zaliwa kipindi cha jua kali

e.g.

Namisana yaza kufula mienda

sw

Namisana anaenda kufua nguo


By Anna
date publishedFebruary 14, 2023

Kulunalila

Ni jina la kiume lenye maana ya mtoto aliye zaliwa alikuwa anateseka au alipitia magumu mengi katika ukuaji wake .

e.g.

Kulunalila yaza chambo kunawa

sw

Kulunalila ameenda ziwani kuoga


By Anna
date publishedFebruary 14, 2023

Kezilahabhi

Ni jina la kiume linalo manisha mtu aliye zaliwa sehemu mbaya

e.g.

Kezilahabhi yaza sokoni

sw

Kezilahabhi ameenda sokoni


By Anna
date publishedFebruary 14, 2023
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.