Daniel S
Joined 4 months ago

Mele

Maziwa

e.g.

Mwana yakulilila mele gake

sw

Mtoto analilia maziwa yake


date publishedNovember 1, 2022

Mwezi wa kumi na mbili

Mwezi wa kumi na mbili

e.g.

Mwezi wa kumi na mbili nikutula idodoma

sw

Mwezi wa kumi na mbili nitaenda Dodoma


date publishedNovember 1, 2022

Kijivu

Kijivu

e.g.

Disiku dya jumatano nikufata tisheti ya rangi ya kijivu

sw

Siku ya jumatano tunavaa tisheti ya rangi ya kijivu


date publishedNovember 1, 2022

Sahani

Sahani

e.g.

Leta sahani ya mwana

sw

Leta sahani ya mtoto


date publishedNovember 1, 2022

Kaka

kaka

e.g.

Kaka kasafiri kuluta Morogoro

sw

Kaka amesafiri kwenda Morogoro


date publishedNovember 1, 2022

Paa

Paa

e.g.

Mwezi ukwija nikwika paa mnyumba

sw

Mwezi ujao nitaweka paa kwenye nyumba


date publishedNovember 1, 2022

Mgosi

Mwanaume

e.g.

Mgosi wangu yakunangigwa Mkude

sw

Mwanaume wangu anaitwa Mkude


date publishedNovember 1, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.