Enock Kom
Joined 10 months ago

Ndimu

Ndimu

e.g.

Angulunge samaki wekiewa kiwekela ndimu

sw

Ukipika samaki usisahau kuweka ndimu


date publishedNovember 11, 2022

Ndizi

Ndizi

e.g.

Lelo pendeenikilunga ndizi

sw

Leo jioni nitakula ndizi


date publishedNovember 11, 2022

Kitole kiamuguru

Kidole cha mguu

e.g.

Kitole kiane kiamuguru wane kiunikile

sw

Kidole cha mguu wangu kilivunjika


date publishedNovember 11, 2022

Njano

Njano

e.g.

Bendera ya taifa ikete rangi ya njano

sw

Bendera ya taifa ina rangi ya njano


date publishedNovember 11, 2022

Tikiti maze

Tikiti maji

e.g.

kite hamu ya tikiti maze

sw

Nina hamu ya tikiti maji


date publishedNovember 11, 2022

Milioni mwee

Milioni moja

e.g.

Kinapate milioni mwee ningola giale

sw

Nikipata miliomi moja nitanunua gari


date publishedNovember 11, 2022

Ikikoa

Kunyesha

e.g.

Lelo mbula ikikoa

sw

Leo mvua inaweza kunyesha


date publishedNovember 11, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.