Felix
Joined 8 months ago

Mele

Maziwa

e.g.

Sitakwedigwilo sakugula mele

sw

Nimeenda sokoni kununua maziwa


By Felix
date publishedSeptember 26, 2022

Mwezi wa kumi na mbili

Mwezi wa kumi na mbili

e.g.

Shule zafungwa mwezi wa kumi na mbili

sw

Shule zitafungwa mwezi wa kumi na mbili


By Felix
date publishedSeptember 26, 2022

Jumatano

Jumatano

e.g.

Jumatano ni siku yangu nilekwe

sw

Jumatano ni siku yangu ya kuzaliwa


By Felix
date publishedSeptember 26, 2022

Sahani

Sahani

e.g.

Sahani yangu ni ndana sana

sw

Sahani yangu ni nzuri sana


By Felix
date publishedSeptember 26, 2022

Mbwanga

Kijana

e.g.

Mie ni mbwanga mpole sana

sw

Mimi ni kijana mpole sana


By Felix
date publishedSeptember 26, 2022

Mgosi

Mwanamume

e.g.

Mie ni mgosi

sw

Mimi ni mwanamume


By Felix
date publishedSeptember 26, 2022

Vihi

Bei

e.g.

Wataga vihi hivyo inguo hiyo ?

sw

Unauza bei gani hii nguo ?


By Felix
date publishedSeptember 26, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.