GABRIEL
Joined 5 months ago

Izibha

Maziwa

e.g.

Izibha lyang'ombe linonile

sw

Maziwa ya ng'ombe ni matamu


date publishedDecember 7, 2022

Umwezi wa kumi na mbili

Mwezi wa kumi na mbili

e.g.

Umwezi wa kumi na mbili wuli ni siku salasini na moja

sw

Mwezi wa kumi na mbili una siku thelasini na moja


date publishedDecember 9, 2022

Pachibhili

Jumanne

e.g.

indiyinza kuhaya pachibhili

sw

Nitakuja nyumbani jumanne


date publishedDecember 9, 2022

Umujaha

kijana

e.g.

Umujaha alinamaha

sw

Kijana ana nguvu


date publishedDecember 9, 2022

Umwanavuli

Mwanaume

e.g.

Amsevile umwanavuli wamsungwize

sw

Amemchagua mwanaume anae mpenda


date publishedDecember 9, 2022

Ipanga

upanga

e.g.

Ayatue ipanga lyaise

sw

Amechukua upanga wa baba yake


date publishedDecember 9, 2022

Shipungo

Bega

e.g.

Aandemile pa shipunge shane

sw

Alinishika bega langu


date publishedJanuary 17, 2023
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.