Pekejeng
sex
e.g.
Pekejeng na wakidi huleta ball za mapema
en
Sex among minors causes teenage pregnancy

Mbichwa
high grade marijuana
e.g.
Vijanaa lazima wajilipue na mambichwa kila time
en
Young people usually insist on smoking high grade marijuana

Muigua
a thorn
e.g.
Jeso aharukirio thumbi ya miigua mutharaba-ini
en
On they cross, Jesus had a crown of thorns around his head

Kinara
Chief leader
e.g.
Kinara wa muungano wa walimu ameitisha mgomo kufuatia mzozo wa mshahara
en
The leader of the teachers union has called for a strike following a salaries dispute

Maktaba
Library
e.g.
Vitabu kuhusu historia ya nchi vinapitakana kwenye maktaba ya kitaifa
en
Books about the country's history are found in the national library

Ihoya
prayer
e.g.
Ihoya ni miario ya mundu na Ngai
en
A prayer is the communication between humans and God

Murata
a friend
e.g.
Murata mwega dangiguteaniria ona ri
en
A good friend will always be there for you
