Getruda
Joined 2 years ago

Itarehe

Tarehe

e.g.

itarehe tisa kwiza kukulola

sw

Tarehe tisa nitakuja kukuona


date publishedDecember 2, 2022

Ufupa

Mfupa

e.g.

Wavuni ufupa

sw

Mfupa umevunjika


date publishedDecember 2, 2022

Ichifua

Kifua

e.g.

ichifua chiku waya

sw

Kifua kinauma


date publishedDecember 2, 2022

Ndoa

Ndoa

e.g.

iwiki izile vakufunga ndoa

sw

wiki ijayo wanafunga ndoa


date publishedDecember 2, 2022

Tufaa

Tufaa

e.g.

Tufaa lagla itundu likukundwa

sw

Tufaa ni tunda linalopendwa


date publishedDecember 2, 2022

Ijusi

Mjusi

e.g.

ijusi ali kuukuta

sw

Mjusi yuko ukutani


date publishedDecember 2, 2022

Imisuli

Misuli

e.g.

imisuli ikuwaya

sw

Misuli inaniuma


date publishedDecember 2, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.