Godbless Massawe
Joined 2 years ago
Shidonda sha ndeu
Vidonda vya tumbo
e.g.
Ngiwawio ko shidonda sha ndeu
sw
Mwili unaniuma sababu ya vidonda vya tumbo

Sindano
Sindano
e.g.
Mleu chu nekapo sindano shiwi
sw
Mgonjwa atachomwa sindano mbili

Chambie
Chambo
e.g.
Chambie nyi irimbocho le tombonyi
sw
Chambo ni wadudu wanao ishi kwenye tope

Ugonjwa wa kulala
Uwicho
e.g.
Mbai kuore mrunaiwawio uwicho
sw
Jirani yangu ana tatizo la ugonjwa wa kulala

Mawio wo samu
Upungufu wa damu
e.g.
Dakitarie naamba ngiore mawio wo samu
sw
Dakitari kasema nina upungufu wa damu

Mawawio wo injano
Ugonjwa wa manjano
e.g.
Mawawio wo injano nyi liwicho mfiru chi
sw
Ugonjwa wa manjano ni tishio siku hizi
