Anasia
Anasia ni jina la kike lenye maana ya kufurahi au anafuraha
e.g.
Ngamdholya Anansia kulamchemeni
sw
Nimemuona Anasia shambani

Aikande
Aikande ni jina la kike lenye maana ya asante baba
e.g.
Nguku ya Aikande yala maemba yeedu
sw
Kuku wa Aikande amekula mahindi yangu

Wangaduni
Wangaduni jina la kiume au jina analopewa mtoto wa kiume lenye maana ya muite bwana
e.g.
Wangadumi neshokye irunda
sw
Wangaduni amechoka kufanya kazi

Ruvayo
Ruvayo ni jina la kiume lenye maana ya Mungu tu
e.g.
Ruvayo nekundi umbe ndii
sw
Ruvayo anapenda mbege

Eshikwake
Eshikwake ni jina analopewa mtoto wa kiume lenye maana ya anajua wake
e.g.
Eshikwake nela maemba
sw
Eshikwake anakula mahindi

Kundasenyi
Ni jina la kiume lenye maana ya penda
e.g.
Kyadu kya kundasenyi
sw
kiatu cha kundasenyi

Elimuhidimi
Hili ni jina la kiume linalomanisha kwakuwa anatosha
e.g.
Elimuhidimi neimba usha
sw
Elimuhidimi anaimba vizuri
