Honorata
Joined 1 year ago

Ibuyu lya kiafrica

Mbuyu wa kiafrica

e.g.

Kasi ngyumu ee maja jii oo ibuyu lya kiafurika

sw

Ni kazi ngumu kukata mbuyu wa kiafrica


date publishedNovember 4, 2022

Ndumuu

Ndimu

e.g.

Koika samaki ndimu walodaa sana.

sw

Ukiweka ndimu kwenye samaki wanakuwa watamu sana.


date publishedNovember 4, 2022

Ipeyasi

Pea

e.g.

Ipeasi elyi lyiboyee era ehoo.

sw

Hili pea limeoza tupa uko


date publishedNovember 4, 2022

Mboo

Kunyesha

e.g.

Mboo yakaba enu paka ikyende fuu

sw

Mvua imenyesha leo hadi ikasabisha maafuriko


date publishedNovember 4, 2022

Usende

Mguu

e.g.

Udende loko luledokaa ngachidima etembeya

sw

Mguu wangu umevunjika siwezi kutembea


date publishedNovember 4, 2022

Kiarafuye

Kinyonga

e.g.

Kiarafuye kyalacha rangi kila saa kulingana na masingira

sw

Kinyonga hubadili rangi mara kwa mara kulingana Na mazingira


date publishedNovember 4, 2022

Sabibu

Zabibu

e.g.

Yaa chi kodu sabibu tifye tidemoo Dodoma

sw

Hapa nchi kwetu zabibu nyingi zinalimwa Dodoma.


date publishedNovember 4, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.