Johnngeleja
Joined 2 years ago
Ikomi
Kumi
e.g.
Mbuli ikomi tokosenza abageni balye
sw
Mbuzi kumi tutachinja wageni wale
By
Johnngeleja

Inundu
Upanga
e.g.
Inundu yane yajimelaga nani webochaga
sw
Upanga wangu umepotea nani kaubeba
By
Johnngeleja

Lwakatandatu
Jumamosi
e.g.
Lwakatandatu baliza bageni kwenga Shinyanga
sw
Jumamosi wanakuja wageni kutoka Shinyanga
By
Johnngeleja

Mayoboko
Mama mkwe
e.g.
Mayoboko aliza kotogesha
sw
Mama mkwe anakuja kutusalimia
By
Johnngeleja

Ng'hengeleji
Dirisha
e.g.
Nyanda Bebe oletakei aha ng'hengeleji
sw
Kijana unafanya nini kwenye dirisha
By
Johnngeleja

Bokame/nzara
Ukame/njaa
e.g.
Bokame bwanoyo wenelegije nzara
sw
Ukame huu umesababisha njaa
By
Johnngeleja

Ntale wisumbe
Mwenyekiti
e.g.
Ntale wisumbe tolelomba abana kijiji abose bikuminge
sw
Mwenyekiti tunaomba wana kijiji wote wajikusanye
By
Johnngeleja
