Lightness
Joined 1 year ago

Kobe

Kobe

e.g.

Kobe azaingia nyumbai hakunda kuawa

sw

Kobe ameingia ndani hataki kutoka


date publishedOctober 11, 2022

Mapafu

Mapafu

e.g.

Yuja mghoshi azapimighwa sipitai azaangighwa aeke kuputa sigaa mapafu yazamema mazi

sw

Yule mzee ameambiwa aache kuvuta sigara mapafu yamejaa maji


date publishedOctober 11, 2022

Machungwa

Machungwa

e.g.

Kiyoi neniite ngoi neneiize na machungwa

sw

Kesho nitaenda shamba nitakuja na machungwa


date publishedOctober 11, 2022

Kisulisuli

Kisulisuli

e.g.

Ng'wezi wa pili kwaituka na kisulisuli

sw

Mwezi wa pili kunakuwa na kisulisuli


date publishedOctober 11, 2022

Utumbo

Utumbo

e.g.

Kiyoi nenije ughai na utumbo

sw

Kesho nitakula ugali na utumbo


date publishedOctober 11, 2022

Mkimbizi

Mkimbizi

e.g.

Kuja ndanga azagwiwa mkimbizi azaighawa poisi

sw

Kule Tanga amekamatwa mkimbizi amepelekwa polisi


date publishedOctober 11, 2022

Mamba

Mamba

e.g.

Tizaita kwewea mamba kuja mto pangani

sw

Tumeenda kuangalia mamba kule mto pangani


date publishedOctober 11, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.