Taarifa potoshi
Disinformation
e.g.
UsIshiriki katika taarifa potoshi mtandaoni.
en
Do not participate in online disinformation.

Hifadhidata
Database
e.g.
Hifadhidata inatumika kuhifadhi data.
en
A database is used to store data.

Ughushi mbizi
Deep fake
e.g.
Ughushi mbizi inaezatumika kuiga mtu yeyote.
en
A deep fake can be used to impersonate anybody.

Utambulisho digitali
Digital identity
e.g.
Utambulisho digitali wako ni ngumu kuchunga.
en
Your digital identity is hard to protect.

Umaizi digitali
Digital literacy
e.g.
Je, unaweza kukadiria vipi umaizi wa kidijitali barani Afrika?
en
How would you rate digital literacy in Africa?

Ufichamishaji kamili
End-to-end encryption.
e.g.
Programu nyingi za gumzo zina ufichamishaji kamili.
en
Most chat apps have end-to-end encryption.

Uhuru wa kunena
Freedom of expression
e.g.
Freedom of expression is not debatable.
en
Uhuru wa kunena haina mjadala.
