Lubuva
Joined 1 year ago

Malaria

Malaria

e.g.

Mbita kusibitali watya nina malaria

sw

Nimeenda hospitali wamesema nina malaria


By Lubuva
date publishedSeptember 29, 2022

Saratani

Saratani

e.g.

Yaya yatamingwe saratani

sw

Mama anaumwa saratani


By Lubuva
date publishedSeptember 29, 2022

Upele

Upele

e.g.

Mwanangu duyena upele mwili wose

sw

Mwanangu ana upele mwili mzima


By Lubuva
date publishedSeptember 29, 2022

Kisonono

Kisonono

e.g.

Mtamwa wa mwana wamwagana yene chisonono

sw

Yule mgonjwa amekutwa na kisonono


By Lubuva
date publishedSeptember 29, 2022

Ule

Nini

e.g.

Ukutya ule ?

sw

Unasema nini ?


By Lubuva
date publishedSeptember 29, 2022

Nani

Nani

e.g.

Mwene nani yuyo yono yakutoa hodi ?

sw

Nani huyo anae bisha hodi ?


By Lubuva
date publishedSeptember 29, 2022

Nkudoka

Kutapika

e.g.

Zuali nkudoka

sw

Leo nimetapika


By Lubuva
date publishedSeptember 29, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.