Lucas Josephat Matiko
Joined 2 years ago
Nyansahi
Mwezi wa saba
e.g.
Nyansahi nu mweri wo ghukeri abhantu
sw
Mwezi wa saba ni mwezi wa kusalimia watu

Mweri gho muhungate
Mwezi wa sita
e.g.
Umweri gho muhungate nu wu ichinyangi hano ghichichi
sw
Mwezi wa sita ni mwezi wa sherehe hapa kijijini

Itandora
Mwezi wa sita
e.g.
Itandora nu mweri wo ichinyangi hano ghichichi
sw
Mwezi wa sita ni mwezi wa sherehe hapa kijijini

Icho
Kesho
e.g.
Icho inkyo nndache nkurentere ibhintu byao
sw
Kesho asubuhi nitakuletea vitu vyako

Chumamosi
Jumamosi
e.g.
Chumamosi nu rusiku rwa bhasabhato kuya kanisa
sw
Jumamosi ni siku ya wasabato kwenda kanisani

Muiseke / msubhati
Dada
e.g.
Umuiseke wabho achere ni chizawadi ichincharu .
sw
Dada yao amekuja na zawadi nyingi

Umuntu
Mtu
e.g.
Wange kuya na Musa kurisi , nu umuntu umubhibhi.
sw
Usiende na Musa kuchunga , ni mtu mbaya
