Madocho Wa Kanairo
Sheng' President
Youth Peace Ambassador
Sheng si ya Mtu, ni culture Yetu Wote👽🤡👁
Joined 9 months ago
Wamoncho/kunywets
Drinking
e.g.
Ule chajii analombotov kuwamoncho/kunywets
en
That guy loves drinking

Mbachua
Analyze
e.g.
Nimemonchoka kumbachua lumbutuku wathii.
en
I have just analyzed the clothes at Gikomba Market.

Tyap/genje/ngosforio
Dangerous
e.g.
Iyo move ni tyap/genje/ngosforio
en
That move is dangerous
