Medard
Joined 7 months ago

Izibha

Maziwa

e.g.

Izibha ge ng'ombe lyomele

sw

Maziwa ya ng'ombe yamekauka


By Medard
date publishedOctober 4, 2022

Omwezi gwa kumi na mbili

Mwezi wa kumi na mbili

e.g.

Omwezi gwa kumi na mbili gumalishe sanyoni

sw

Mwezi wa kumi na mbili umeisha leo


By Medard
date publishedOctober 4, 2022

Mushitatu

Jumatano

e.g.

Mushitatu imalishe wakati envula etonya

sw

Jumatano imeisha wakati mvua inanyesha


By Medard
date publishedOctober 4, 2022

Esahani

Sahani

e.g.

Esahani ya kulia ugali etejile

sw

Sahani ya kulia ugali imepotea


By Medard
date publishedOctober 4, 2022

Osahala

Kijana

e.g.

Osahala wa juma ayejile olundu mwinza

sw

Kijana wa juma ameoa msichana mzuri


By Medard
date publishedOctober 4, 2022

Gebulo

Paa

e.g.

Gebulo lya nyumba lingwile hu barabara

sw

Paa la nyumba limedondoka barabarani


By Medard
date publishedOctober 4, 2022

Maralia

Maralia

e.g.

Embongo ya maralia ebuda

sw

Ugonjwa wa malaria unaua


By Medard
date publishedDecember 7, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.