MgetaJane
Joined 1 year ago

Bhunyoke

Uchovu

e.g.

Omlwaye unu aigilwe kwokuwa ana bhunyoke

sw

Mgonjwa huyu amechoka kwa kuwa ana uchovu


date publishedSeptember 29, 2022

Evinyoli

Kaswende

e.g.

Mgeta wampimile wamsanga alinavinyoli

sw

Mgeta wamempima wamemkuta ana kaswende


date publishedSeptember 30, 2022

Amakuta

Mashilingi

e.g.

Mwana wani ana makuta kumutwe

sw

Mwanangu ana mashilingi kichwani


date publishedSeptember 30, 2022

Bhulema

Ulemavu

e.g.

Omwana unu wamwibhuye ali na bhulema wa kwibhoko

sw

Mtoto huyu amezaliwa akiwa na ulemavu wa mkono


date publishedSeptember 29, 2022

Polio

Polio

e.g.

Tusile abhana spitali waje bhona ichanjo ya polio

sw

Tuwapeleke watoto hospitali wakapate chanjo ya polio


date publishedSeptember 29, 2022

Homa ya munda

Homa ya matumbo

e.g.

Okunywa manji gatabisishwe ouleta ihoma yo munda

sw

Kunywa maji bila kuchemsha inasababisha homa ya matumbo


date publishedSeptember 29, 2022

Obhukimwi

Ukimwi

e.g.

Mganga ampima mlwaye kamsanga ana obhukimwi

sw

Dakitari amempima mgonjwa na kumkuta ana ukimwi


date publishedSeptember 30, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.