Naomietwelve
Joined 2 years ago
Malenge
Pumpkin
e.g.
Malenge upikiwa chapati tamu sana
en
Pumpkin is used to make delicious chapati
By
Naomietwelve

Sufuria ya kupikia
Cooking pan
e.g.
Nimetumia sufuria ya kupikia kuchemsha maji
en
I boiled water using cooking pan
By
Naomietwelve

Ukwaju
Tamarind
e.g.
Mama anauza ukwaju sokoni
en
My mother sells tamarind at the market
By
Naomietwelve

Kidole ya mguu
Toe
e.g.
Nimeumia kidole change cha mguu
en
My toe got hurt
By
Naomietwelve

Tikitimaji
Watermelon
e.g.
Nchi ya Uganda upanda tikitimaji kwa uwingi
en
Uganda grows watermelon in large scale
By
Naomietwelve

Nyigu
Wasp
e.g.
Nyigu upepea na utoa sauti
en
Wasp flies and make noise
By
Naomietwelve

Milioni moja
One million
e.g.
Nimeshinda milioni moja
en
I won one million
By
Naomietwelve
