Achieng' Nyotuoro
Joined 5 years ago
Cherehe
Pencil sharpener
e.g.
Mama alimnunulia Chidzuga cherehe nyekundu.
en
Mother bought Chidzuga a red pencil sharpener.

Kijani kibichi
Green
e.g.
Mlango wao umepakwa rangi ya kijani kibichi.
en
Their door is painted green.

Hudhurungi
Brown
e.g.
Amepaka nyumba yake ranging ya hudhurungi.
en
He has painted his house brown.

Kikokotoo
Calculator
e.g.
Kila mwanafunzi anapaswa kuwa na kikokotoo chake.
en
Every student is expected to have his/her own calculator.

Kusukuta
Gargle
e.g.
Daktari alimwbia asukute maji moto ya chumvi.
en
The doctor told her to gargle hot salty water.
