Reina
Joined 2 years ago
Minyoo ya itumbo
Minyoo ya matumbo
e.g.
Minyoo ya itumbo sio vuwashi vyedi he vana
sw
Minyooya matumbo sio ugonjwa mzuri kwa watoto
By
Reina

Vvu /ukimwi
VVU /UKIMWI
e.g.
Efwie kwa VVU /UKIMWI mwaka wevechie
sw
Alifariki kwa VVU /UKIMWI mwaka uliopita
By
Reina

Homa ya manjano
Homa ya manjano
e.g.
Mwana ekimongwa eendiwa aingwe mavee etha athieketa homa ya manjano
sw
Mtoto anapozaliwa anatakiwa apewe maziwa ili asijekupata homa ya manjano
By
Reina

Kichefuchefu
Kichefuchefu
e.g.
Kila mche ekipata ndeni eoka na kichefuchefu vangi vetahika
sw
Kila mwanamke akipata mimba anakuwa na kichefuchefu wengine hutapika
By
Reina
