Revina kibua Mapunda
Joined 7 months ago
Mau
Mama
e.g.
Niambili kusongea kumgendilela mau
sw
Nimeenda songea kumtembelea mama

Nipilika kuvina
Uchungu
e.g.
Nipilika kuvina nilumiwi na lyoka
sw
Nasikia uchungu nimeng'atwa na nyoka

Mwenyechiti
Mwenyekiti
e.g.
Mapesa ndio mwenyechiti wa chijiji
sw
Mapesa ndio mwenyekiti wa kijiji
