Rosemary mtaki
Joined 8 months ago
Okwesi kwekumi na kabhili
Mwezi wa Kumi na mbili
e.g.
Okwesi kwekuminambili inkubha ikwaga nyafu
sw
Mwezi wa Kimi nambili mvua huwa inanyesha nyingi

Kulwa kasatu
Jumatano
e.g.
Kulwa kasatu ni naku chokulima
sw
Jumatano ni siku za kulima

Oruswi
Paa la nyumba
e.g.
Bali kunyumba bheswika oruswi
sw
Wapo kwenye nyumba wanaeka paa

Omlakana
Mvulana
e.g.
Omlakana wendanu achie kung'a
sw
Mvulana wa hapa ameenda kwenye ng'ombe
