Shamim Mbeyu
Joined 7 months ago
Mwezi wa kumi na mbiri
December
e.g.
Ndagula gari yangu yakwanza mwezi wa kumi na mbiri, mwaka uu.
en
I will buy my first car in December, this year.
By
Shamim Mbeyu

Jumatano
Wednesday
e.g.
Lazima nende sokoni jumatano
en
I must go to the market on Wednesday
By
Shamim Mbeyu

Sahani
Plate
e.g.
Nina sahani mwenga hicheye mo mwangu nyumbani
en
I only have one plate in my house
By
Shamim Mbeyu

Mwanalume
Boy
e.g.
Mwenehu wa mwisho ni mwanalume
en
Our last born is a boy.
By
Shamim Mbeyu

Bei
Price
e.g.
Bei ya sabuni ni sawa na ya unga
en
The price of soap is equal that of flour
By
Shamim Mbeyu

Mwazarakwe
One who can never consult anyone regarding any issue
e.g.
Mwazarakwe wagula gari mbiphya
en
Mwazarakwe bought a new car
By
Shamim Mbeyu
