Stan
Joined 2 years ago

Misuli

Misuli

e.g.

Misuli yabondia ni mikomi

sw

Misuli ya bondia ni mikubwa


By Stan
date publishedDecember 6, 2022

Isenga

Ng'ombe

e.g.

isenga dzigenda muliwaga

sw

Ng'ombe wapo zizini


By Stan
date publishedDecember 6, 2022

Pamwezi watano

mwezi wa tano

e.g.

pamwezi watano ndihelela hwabibi

sw

Mwezi wa tano nitamtembelea bibi


By Stan
date publishedDecember 6, 2022

Pamwezi wa tisa

Mwezi wa tisa

e.g.

pamwezi wa tisa ndihelela hubagamoyo

sw

Mwezi wa tisa nitaenda Bagamoyo


By Stan
date publishedDecember 6, 2022

Kiboko

kiboko

e.g.

kiboko amlemidze munu

sw

kiboko amejeruhi mtu


By Stan
date publishedDecember 6, 2022

Mfupa

Mfupa

e.g.

Mfupa gwahe umegwile

sw

Mfupa wake umesagika


By Stan
date publishedDecember 6, 2022

Ifwili

Nywele

e.g.

ifwili dzahwe neli

sw

Nywele zake ni ndefu


By Stan
date publishedDecember 6, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.