Ahansi
Chini
e.g.
Omwana ashuntamile ahansi yo mkeka
sw
Mtoto amekaa chini kwenye mkeka.

Ahansi
Chini
e.g.
Omwana akaguruka kuruga eigulu agorofa mpaka ahansi.
sw
Mtoto aliruka kutoka juu ghorofani mpaka chini.

Ahansi
Chini
e.g.
Omwana yagamba taikwenda kushuntama akitebe nayenda kushuntama ahansi.
sw
Mtoto amesema hataki kukaa kwenye kiti amesema anataka kukaa chini.
