• Top definitionTop Definition

Nyamkubhi

Nyamkubhi ni jina la kike likimanisha mboga za majani, jina hili anapewa motto anayezaliwa kwasababu mboga za majani zinakuwa nyingi mashambani hivyo anaepwa jina hili kama kumbukumbu .

e.g.

Nyamkubi kasibwa meso

sw

Nyamkubi anaumwa macho


date publishedNovember 17, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.