Kasingwa
Kasingwa ni mtu alizaliwa mzazi wake akafa. Lakini hili jina anapewa mtoto wa kike
e.g.
Kasingwa Kenda Sana kusenya jingwi
sw
Kasingwa anapenda kusenya kuni

Kasingwa
Kasingwa ni jina la mtu likimanisha kuachwa yani mtu aliye zaliwa mala baada ya kuzaliwa mama yake akafariki.
e.g.
Kasingwa nimjibirie atana misango myanfu
sw
Kasingwa ni mkimya hana mambo mengi
