• Top definitionTop Definition

Kaaya

Kaaya ni mtoto wa kiume aliezaliwa wakati wa tembo nyingi zilizovamia meru wakati wa zamani kwaio kaaya ni mtoto wa kiume aliezaliwa wakati wa tembo zilivyovamia makazi ya watu meru miaka ya nyuma

e.g.

kaaya akekumba ndri fiku firaru va makuru

sw

kaaya anauza dawa ya wadudu elfu tatu


date publishedNovember 13, 2022

  • Word of the day

Mwikulu

Heaven

e.g.

Nyasaye Papa wefu uli mwikulu.

en

God our Father who is in Heaven.


By Malika
date publishedSeptember 30, 2019
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.