• Top definitionTop Definition

Ndeni

Matumbo

e.g.

Ula mche ena ndeni mbaha.

sw

Yule mwanamke ana matumbo makubwa


By Reina
date publishedSeptember 16, 2022

  • Definition 2

Ndeni

Ndani

e.g.

Vyombo vyothe ugere ndeni ya ndoo

sw

Vyombo vyote uweke ndani ya ndoo


By Reina
date publishedOctober 15, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.