Sunda email yako upata Sheng moja moto kila asubuhi.Ni bure.
Sota
Being broke.
e.g.
Kusota sio dhambi nanii. Chukua sukuma ya ashu kwa mama mwaniki, ongezea ugali imeenda shule na ka avaks. Kesi ya kuomoka tuongelee baadaye.
en
Being broke is not a sin. Buy Sukuma wiki worth ten shillings from Mwaniki's mum and complement with Ugali and avocado. Let talk about how to become rich later.
By
Wakadinali

Busuu
Unga
e.g.
Jagi mkashelwe busuu wakolya bogale
sw
Nendeni mkasage unga wa kula ugali
By
Johnngeleja
