Searching...

  • Top definitionTop Definition

Daima

Always

e.g.

Nitakupenda daima

en  

I will love you always 



  • Definition 2

Daima

forever

e.g.
Daima kuweka akiba kwa kila jambo ni busara zaidi.


  • Definition 3

Daima

always

e.g.

Nitaabudu mungu daima

en  

I will praise God always



  • Definition 4

Daima

always

e.g.
Tuliendelea kufuatilia habari zake hadi siku ambayo alikuwa akiondoka nchini kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Uswisi (Swiss Air), siku ambayo ni waandishi watatu tu ndio walikuwapo uwanja wa ndege, Absalom Kibanda, ambaye sasa ni Mhariri wa Tanzania Daima na mpiga picha Emmanuel Herman, ambaye amerejea tena Habari Corporation.

Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.