Searching...

  • Top definitionTop Definition

Machachari

Mischievous

e.g.

Wewe ni machachari sana

en

You are so mischievous


date publishedJanuary 26, 2022

  • Definition 2

Machachari

Jumpy/high activeness.

e.g.

Ndio maana ni wazi kuwa katika uchaguzi ujao, lazima tushuhudie baadhi ya wabunge machachari wa chama tawala wakiwajibishwa kwa ama kufukuzwa uanachama au kunyimwa uteuzi kugombea tena majimboni mwao.


date publishedAugust 16, 2021
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.