Searching...

  • Top definitionTop Definition

Malaika

angel

e.g.

Wewe sio malaika

en  

You are not an angel



  • Definition 2

Malaika

angel

e.g.
Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni


  • Definition 3

Malaika

angel

e.g.

Wewe ni malaika

en  

You are an angel



  • Definition 4

Malaika

Angel

e.g.

Malaika Gabriel alitumwa na Mungu kwenda kumpasha habari Maria kwamba atabeba mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu

en  

Angel Gabriel was sent by God to inform Mary that she will conceive by the power of the Holy Spirit



  • Definition 5

Malaika

Angel

e.g.

Malaika walianguka kwa kiburi kwa njia ya hamu ya kujiinua kuwa sawa na Mungu

en  

The angels fell through pride through desire to raise themselves to equality with God


Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.