Searching...

  • Top definitionTop Definition

Magafu

Magafu ni mtoto au jina analo pewa mtoto aliye zaliwa wakati wa msimu wa pamba .

e.g.

Magafu ali na mwana mlela

sw  

Magafu ana mtoto mdogo



  • Definition 2

Magafu

Magafu ni jina la mwanaume aliye zaliwa kipindi cha uvunaji wa pamba

e.g.

Magafu aja kugulilo kugula amalingwa

sw  

Magafu ameenda gulioni kununua mahidi


Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.