Searching...

  • Top definitionTop Definition

Masamaki

Masamaki ni jina analo pewa mtoto wa kiume ambaye amezaliwa kipindi cha msimu wa samaki. Mala nyingi jina hili linapatikana mkoa wa Mara-Tanzania.

e.g.

Masamaki kasibhwa

sw  

Masamaki anaumwa


Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.