• Top definitionTop Definition

Mashenene

Mashenene jina hili linatokana na neno shenene ni aina ya panzi , hivyo jina mashenene ni jina la kiume linalo onesha jina la mtu aliye zaliwa wakati wa panzi wengi,

e.g.

Mashenene ni msigaji mfula mno

sw

Mashenene ni kijana mpole sana


date publishedNovember 17, 2022

  • Word of the day

Nyoloku.

Soft.

e.g.

Julie Ena ngothi nyoloku.

en

Julie has a soft skin.


By Levick
date publishedApril 13, 2020
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.