• Top definitionTop Definition

Matatizo

Jina hili anapewa mtoto wa kiume , jina hili linatokana na matatizo yaliyo mkuta mama wakati amebeba mimba. Hivyo anakuwa amepitia matatizo mengi sana katika ukuaji wa huyo mtoto. Mfano , pengine wakati wa ujauzito wenda alikuwa anaugua mala kwa mala hivyo mtoto atakae zaliwa atapewa hili jina .

e.g.

Lisina la msani wani ni Matatizo

sw

Jina la rafiki yangu ni matatizo.


date publishedOctober 30, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.