• Top definitionTop Definition

Mwamvua

Ni mtoto wa kike ambaye alizaliwa kipindi cha msimu wa mvua nyingi , wakati mwingine mtoto huyu alizaliwa mvua inanyesha .

e.g.

Mwamvua ali na mwana mlela

sw

Mwamvua ana mtoto mdogo


date publishedOctober 30, 2022
Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.