Searching...

  • Top definitionTop Definition

Nyangere

Nyangere hili ni jina analopewa mtoto wa kike aliye zaliwa kipindi cha msimu wa samaki aina ya ngere, samaki hawa wanapatikana ziwa Victoria.

e.g.

Nyangere ni mwana mmumu sana

sw  

Nyangere ni mtoto mjinga sana


Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Login to leave a like.