Jina la toto wa kike aliyezaliwa wakati wa njaa, jina hili ni maarufu hasa maeneo ya kanda ya ziwa
Nyanyara kakukesha sana
Nyanyara anakusalimia sana
Nyanjara ni jina linalotokana na neno njara yani njaa. Hivyo ni jina la mwanamke linaloonesha alizaliwa kipindi cha njaa kali.
Nyanjara aja mwikanisa
Nyanjara ameenda kanisani
Setting up an account is free! Login to leave a like.