Manumbu
Manumbu ni jina ambalo anapewa mtoto baada ya kuzaliwa likiwa na maana ya mtu ambaye amezaliwa kipindi cha msimu wa viazi
e.g.
Manumbu ekwenda kusoma
sw
Manumbu anapenda kusoma

Manumbu
Manumbu ni mtu aliyezaliwa msimu wa viazi
e.g.
Manumbu kasha chingwi
sw
Manumbu anapasua kuni
