Sunda email yako upate Sheng moja moto kila asubuhi. Ni bure. Wazito 1,981 tayari wako form.
Aluta
Chewing khat all night, till morning.
e.g.
Usipige aluta kama utaenda kazi mapema kesho.
en
Don't chew khat all night if you have to go to work tomorrow.
April 29, 2023
Aluta
Night partying
e.g.
Jana nimekuwa aluta
en
Yesterday I was partying all night
By
King Bryne
January 26, 2024