Bango
poster
e.g.
Msemakweli aliongeza kuwa mbali na kitabu hicho, pia atahakikisha anaweka majina katika mabango makubwa ya matangazo na kwamba zoezi hilo litaanza rasmi Februari 20 mwaka huu ambapo ataweka matangazo hayo katika barabara mbalimbali zikiwemo za Ali Hassan Mwinyi, eneo la Salender, makuatano ya Kawawa na Nyerere, eneo la Jangwani pamoja na Barabara ya Kilwa, eneo la Darajani.
By
Anonymous
